Hakuna mtu ambaye anajua kilichopo moyoni mwangu ,nia yangu kubwa ni kuzaa na linah .Napenda kuwa na mtoto nae si unajua kama mwanamke unayempenda unatamani kuzaa naye ndio ilivyo kwa linah ,mungu akipenda ni mwaka huu mambo yatakua mazuri.