Shamsa Ford na Mume wake ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini Chid Mapenzi penzi lao linasemekana kuwa limevunjika, ingawa kwa upande wao hakuna aliyefunguka kuhusu hilo.
Tetesi hizo zimezidi kusambaa kwenye mtandao kijamii baada ya caption aliyoiandikaShamsa kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo amejiita single mama na ndipo mashabiki walipopigia msitari na kusema kuwa ndoa kati ya Shamsa na Chid Mapenziimevunjika, ndoa hiyo ilifungwa September 2, 2016.
“Morning my people..kumekucha jamani ..wale masingle ladies kama mm jamani achieni mashuka mkatafute vijicent vya watoto wenu maana mjini pagumu bila kuchakarika na hizi shule za watoto wetu vingereza vingi mpaka mtu unaogopa kurudi nyumbani mapema unavizia mpaka mtoto awe amelala😀”