Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amefunguka ishu kibao kwenye mahojiano na kueleza mahusiano yake kwasasa na Nandy, kupitwa kimuziki na Harmonize, Wasafi FM&TV kufunika Dar na kukodi Helikopta Mil. 31 kwa saa mmoja. Fungua kipengele cha video kuona maojiano yake.