Category: michezo
Msanii Huyu Ndiye Amesainiwa WCB Wasafi Leo!? | DIAMOND Kumtangaza Hivi Punde!
RICARDO MOMO AFUNGUKA KAULI YA MHE MAKONDA “HAKUNA KUSTAAFU MPIRA YONDANI NA ERASTO NYONI”
UBABE WA MAKONDA KWA NYONI NA YONDANI: HAKUNA MTU KUSTAAFU HAPA TIMU BADO INAWAHITAJI
PIERE KACHELEWA GAME AKIISUBIRI GAME YA TAIFA STARS VS SENEGAL
VANESSA MDEE Athibitisha Kuachana Na JUX LIVE
MAKONDA: WANASEMA UGANDA WAMETUACHIA / TULITAKA TUWAPELE KWA BAISKELI MISRI
De Oranje are ready to rise again.
Kila taifa lina muundo na utamaduni ambao unaleta ladha ya soka lake.:✍️Mwaka 1974 Uholanzi ilisheheni vipaji vikubwa sana. Licha ya kuwa na kizazi cha dhahabu wakashindwa kunyakua kombe la dunia. Kikosi kile kilitajwa kuwa kikosi bora sana katika historia ya soka.:✍️ 2010 walijitahidi kufikia kuweka historia ya kunyaku taji la lakini wakazidiwa na Wahispania. Uholanzi ile ilishehen kizazi cha dhahabu haswa. Akina Roben, Van De Sar, Welsej n.k.:✍️ Baada ya 2014, Uholanzi ikatoka kwenye Total Football na kwenda Total Failure. Pombe kali ikalevya kizazi cha waholanzi. Soka lao likawa butu.:✍️ Swahiba wangu mmoja anayeishi Uholanzi aliniambia akipokwenda Uholanzi mwaka 2012, asilimia kubwa ya waoto wa miaka 9+ utamkuta aidha anacheza vilabu vya mtaani au yupo kwenye akademi ya soka ya klabu kubwa.:✍️ Akaniambia miaka 8 ijayo uholanzi itaisha sana. Kila kijana hapa ana ndoto ya kuwa Cryjuff au Roben.:✍️ Mtaa kama Tandale unakuta una vilabu sio chini ya 7. Jambo la kuvutia utakuta Vipo vilabu vidogo kabisa vya watoto wa chini ya miaka 9.:✍️Madhara yake tumeona kizazi cha sasa vha Uholanzi. Tazama ile cream ya Ajax, angalia nyongo za Van Djik, Gigi zilivyochafukwa. Hata yule Depay aliyembwele OT nae amekuwa wa moto.:✍️ Ukitaka kuamini maneno yangu, leo watazame hawa vijana wakisakata kabumbu vs England:De Oranje are ready to rise again.
Alikiba na Samatta watunishiana misuli kabla ya mtanange wao
Kuelekea mtanange wa “Nifuate ambao unaandaliwa na Mkali wa Bongo Fleva @officialalikiba pamoja na mchezaji wa klabu ya Genk Samatta @samagoal77 kupitia Project yao ya Samakiba ambayo inajihusisha na kusaidia jamii wamefunguka haya:-
Real Madrid wamaliza La Liga kwa kipigo nyumbani kwao.
Zinedine Zidane amesema kuwa hatamtumia tena msimu ujao mshambuliaji wake, Gareth Bale .Zidane amesema kuwa kwenye mchezo huu wa mwisho asingeli muingiza Bale, hata kama wachezaji wote wa sub wangeisha.
“Sitamjumuisha (Bale) kwenye kikosi changu cha msimu ujao, kuhusu mchezo huu kumuaga kwa heshima sikufikiria. Nadhani hata wachezaji wa ziada wangeisha nisingeweza kumuingiza uwanjani,” amesema Zidane.Real Madrid wamemaliza msimu huu wakiwa nyuma ya alama 21 nyuma ya mabingwa wapya wa La Liga FC Barcelona.









